Wanabodaboda walalamika Maralal

  • | Citizen TV
    329 views

    Wahudumu wa bodaboda Mjini Maralal Kaunti ya Samburu, wanataka kusitishwa Kwa miradi inayotekelezwa na wawakilishi wadi Kaunti hiyo pasi kufuata utaratibu uliowekwa wa kuwahusisha wananchi kabla ya kutekelezwa Kwa miradi hiyo. Kulingana nao, hatua hiyo ni ukiukaji wa sheria na mbinu ya kufuja fedha za umma.