Vijana kutoka kaunti ya Kisii wahimizwa kukumbatia ajira za mitandaoni na gavana Arati

  • | Citizen TV
    517 views

    Vijana kutoka kaunti ya Kisii wamehimizwa kukumbatia ajira za mitandaoni kama moja wapo ya mikakati ya kujitegemea baada ya kufuzu kutoka vyuo mbalimbali.