Rais William Ruto awataka madaktari kurejea kazini

  • | Citizen TV
    4,778 views

    Leba dei 2024 rais william ruto amewataka madaktari kurejea kazini ruto: tumekubaliana kuhusu masuala kumi na saba ruto: kubalini tukisubiri makubaliano yote