Mwanamke mmoja auawa baada ya jengo la ghorofa tatu lililokuwa linajengwa kuporomoka

  • | Citizen TV
    17,917 views

    Vifo vya mafuriko kirinyaga mwanamke mmoja ameaga dunia kirinyaga jengo la ghorofa tatu lililokuwa linajengwa liliporomoka jengo hilo lilianguka juu ya nyumba ya mwanamke huyo