Mameneja watatu wa NCPB wawasilishwa mahakamani

  • | Citizen TV
    531 views

    Mameneja watatu wakuu wa bodi ya kitaifa ya mazao na nafaka nchini NCPB wameshtakiwa kwa makosa ya kupanga njama ya kuwalaghai wakulima kwenye sakata ya mbolea ghushi.