Bunge launda kamati maalum kuchunguza mienendo ya Waziri Linturi

  • | Citizen TV
    747 views

    Kamati maalum ya wanachama 11 imebuniwa kumchunguza Waziri wa Kilimo Mithika Linturi baada ya bunge la kitaifa kuidhinisha hoja ya kumbandua. Masaibu ya Waziri Linturi yakifuatia sakata ya mbolea ghushi iliyoikumba wizara yake. Na kama Seth Olale anavyoarifu, wabunge 149 walipiga kura kuunga mkono hoja ya kubuniwa kwa kamati hiyo huku wabunge 36 pekee wakipinga