- 101 viewsBarabara mbovu zenye mashimo katika miji ya Malawi ni changanoto kwa madereva kila siku, na pia ni miongoni mwa vikwazo vya kiuchumi na zinahatarisha maisha ya madereva na abiria. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Barabara mbovu Malawi zinavyo sababisha vikwazo vya kiuchumi na usalama barabarani
- - LIVE | TV47 Matukio ››
- 17 May 2024 - Parliament has raised the red flag over alleged massive graft in the issuance of capitation funds to Junior Secondary Schools (JSS) across the country.
- 17 May 2024 - National Assembly Finance Committee Chairman and Molo MP Kuria Kimani has shed light on the rationale behind the Treasury's proposal to introduce a 16% Value Added Tax (VAT) on bread.
- 17 May 2024 - Israeli government splits over the war in Gaza broke open this week, after the Defence Minister publicly demanded a clear strategy from Prime Minister Benjamin Netanyahu as troops returned to battle Hamas fighters in areas thought to have been cleared…
- 17 May 2024 - NAIROBI, Kenya May 17 – The implementation of recommendations of the taskforce on reforms chaired by former Chief Justice David Maraga are now in limbo after the National Treasury failed to allocate budget for the actualization of the report. The…
- 17 May 2024 - Kenyan government, like others across the world, is considering various restrictions on Tiktok use.
- 17 May 2024 - SIAYA, Kenya, May 17 – Alego / Usonga Member of Parliament, Samuel Atandi has urged Kenyans to take to the streets if the Kenya Kwanza regime insists on heavy taxation.Atandi, who has vowed to oppose the finance bill, 2024 that seeks to increase…
- 17 May 2024 - Former presidential candidate speaks about his new political project.
- 17 May 2024 - KIRINYAGA, Kenya, May 17 – Kirinyaga Governor exert criticises supporters of the One Man, One Vote, One Shilling Formula. Governor Ann Waiguru has cancelled the much-anticipated Limuru 3 meeting slated for tomorrow, blaming the organisers. Speaking at a…
- 17 May 2024 - NAIROBI, Kenya, May 17 – Kenya and Uganda on Thursday signed a tripartite agreement on the importation and transit of petroleum products through the two countries. President William Ruto said the agreement will enable Uganda to import refined petroleum…
- 17 May 2024 - 23-year-old Maseno University student arrested over alleged rape of two first years