Barabara kadhaa jijini Nairobi zafungwa kutokana mafuriko

  • | Citizen TV
    6,295 views

    Hasara Ya Mafuriko Nairobi:

    Mvua iliyonyesha usiku Nairobi yasababisha hasara

    Wakazi wa Nairobi wazingirwa na maji ya mafuriko

    Barabara kadhaa jijini Nairobi zimefungwa Mito na mabomba yajaza maji barabarani na nyumbani